Loading

News & Events - MAFANIKIO FOUNDATION

News & Events

Stay informed about our latest activities and community impact

MAFANIKIO FOUNDATION Yaendesha Kampeni ya Malezi Bora na Ulinzi wa Mtoto katika Jamii
Community
07 Aug 2026 0

MAFANIKIO FOUNDATION Yaendesha Kampeni ya Malezi Bora na Ulinzi wa Mtoto katika Jamii

MAFANIKIO FOUNDATION imeendesha kampeni ya kuhamasisha malezi bora na ulinzi wa mtoto, ikitoa elimu kwa wazazi, walezi na viongozi wa jamii kuhusu umuhimu wa kujenga mazingira salama na yenye maadili kwa ukuaji wa watoto.

Read More
MAFANIKIO FOUNDATION Yaendelea Kubadilisha Maisha ya Jamii Kupitia Elimu
Success Story
04 Jul 2026 0

MAFANIKIO FOUNDATION Yaendelea Kubadilisha Maisha ya Jamii Kupitia Elimu

MAFANIKIO FOUNDATION imeendelea kuleta mabadiliko chanya katika jamii kupitia programu za elimu, afya, malezi bora na uwezeshaji wa kiuchumi, huku ikiwafikia maelfu ya wananchi na kuimarisha ustawi wa familia pamoja na maendeleo endelevu ya jamii

Read More