Loading

Community Development - MAFANIKIO FOUNDATION
Other

Community Development

Empowering communities through education, leadership, sustainable development and social inclusion initiatives.

Community Development
Community Development Program inalenga kuimarisha uwezo wa jamii kushiriki kikamilifu katika maendeleo yao. Kupitia programu hii, MAFANIKIO FOUNDATION hutoa mafunzo ya maendeleo ya jamii, uongozi, malezi bora, ushiriki wa wananchi, na elimu ya maendeleo endelevu. Taasisi inashirikiana na viongozi wa serikali za mitaa, vikundi vya kijamii, vijana na wanawake katika kubuni na kutekeleza miradi inayoboresha maisha ya wananchi. Lengo ni kujenga jamii inayojitegemea, yenye mshikamano na uwezo wa kutatua changamoto zake kwa kutumia rasilimali zilizopo. Kupitia programu hii, jamii huwezeshwa kupata maarifa, stadi na fursa zinazochochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.
Back to Programs